SABAH SALUM – Si Mzizi Si Hirizi lyrics

Rate this post

SABAH SALUM – Si Mzizi Si Hirizi lyrics
Amekuja kwa mapenzi anayotaka apewe
Anayotaka apewe
Amekuja kwa mapenzi anayotaka apewe
Anayotaka apewe
Tena kwa ule ujuzi kwangu mimi ni utoe
Tena kwa ule ujuzi kwangu mim ni utoe
Tena kwa ule ujuzi,wangu mim ni utoe
Tena kwa ule ujuzi,wangu mim ni utoe
Kwake sinayo hiriz kapenda yeye mwenyewe
Kapenda yeye mwenyewe
Kwake sinayo hiriz kapenda yeye mwenyеwe
Kapenda yeyе mwenyewe
Kapenda si kwa miziz,sikumroga mjue
Kapenda si kwa mizizi,sikumroga mjue
Usione ameganda kwangu mie
Si mzizi si hirizi nimapenzi tu
Usione ameganda kwangu mie
Si mzizi si hirizi nimapenzi tu
Ameniletea penzi,atakavyo afanyiwe
Atakavyo afanyiwe
Ameniletea penzi,atakavyo afanyiwe
Atakavyo afanyiwe
Nami yake matumizi,najua niyatumie
Nami yake matumizi,najua niyatumie
Nami yake matumizi,najua niyatumie
Nami yake matumizi,najua niyatumie
Namtatua tatizi hamtaki mwenginewe
Namtatua taizi hamtaki mwenginewe
Hamtaki mwenginewe
Namtatua taizi hamtaki mwenginewe
Hamtaki mwenginewe
Usione ameganda kwangu mie
Si mzizi si hirizi nimapenzi tu
Usione ameganda kwangu mie
Si mzizi si hirizi nimapenzi tu
Kapenda si kwa miziz,sikumroga mjue
Kapenda si kwa mizizi,sikumroga mjue
Nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye
Nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye
Nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye
Nampa kwa uteuzi,kama apendavyo yeye
Nae amevunja kazi,kwangu nani amtoe
Kwangu nani amtoe
Nae amevunja kazi,kwangu nani amtoe
Kwangu nani amtoe
Usione ameganda kwangu mie
Si mzizi si hirizi nimapenzi tu
Usione ameganda kwangu mie
Si mzizi si hirizi nimapenzi tu
Amekuwa kama chizi,huba zake na moyowe
Huba zake na moyowe
Amekuwa kama chizi,huba zake na moyowe
Huba zake na moyowe
Namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe
Namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe
Namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe
Namaliza sibakizi,chamuingia kiwewe
Ninampa bumbuwazi,lazima kwangu apowe
Lazima kwangu apowe
Ninampa bumbuwazi,lazima kwangu apowe
Lazima kwangu apowe
Usione ameganda kwangu mie
Si mzizi si hirizi nimapenzi tu
Usione ameganda kwangu mie
Si mzizi si hirizi ni mapenzi tu
Nimapenzi tu,Nimapenzi tu
Nimapenzi tu,Nimapenzi tu
Nimapenzi tu,Nimapenzi tu
The SABAH SALUM – Si Mzizi Si Hirizi lyrics was released on April 26, 2021.The writer of the song lyrics is si mzizi si hirizi sabah.The running time is 13:26.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *